Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Kenya

Tag: Kenya

Odinga Ayapinga Matokeo ya Urais Yanayoendelea Kutangazwa Kenya

Posted on: August 9, 2017 - jomushi
Post Tags: Kenya
Odinga Ayapinga Matokeo ya Urais Yanayoendelea Kutangazwa Kenya

  MGOMBEA urais wa muungano wa upinzani nchini Kenya National Super Alliance (Nasa) Raila Odinga amepinga matokeo ambayo yanaendelea kutangazwa na tume ya uchaguzi nchini…

Continue Reading....

Kenyatta Awafukuza Kazi Mawaziri, Aunda Upya Wizara

Posted on: November 25, 2015 - jomushi
Post Tags: Kenya
Kenyatta Awafukuza Kazi Mawaziri, Aunda Upya Wizara

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri kufuatia shinikizo la Wananchi kudai kwamba kuna idadi kubwa ya mawaziri wake wanatuhumiwa na…

Continue Reading....

JK Kenya, Atoa Heshima Kwenye Kaburi la Baba wa Taifa la Kenya

Posted on: October 5, 2015October 6, 2015 - jomushi
Post Tags: Kenya, Rais Kikwete

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda…

Continue Reading....

Mgomo Kenya; Walimu Waigomea Mahakama…!

Posted on: September 28, 2015 - jomushi
Post Tags: Kenya
Mgomo Kenya; Walimu Waigomea Mahakama…!

UFUNDISHAJI masomo anuai katika shule za umma nchini Kenya umekwama licha ya amri ya mahakama ya kuwataka walimu ikilazimisha warejee shuleni Jumatatu. Mgomo wa walimu…

Continue Reading....

Makamu Rais Kenya Ampongeza Rais Kikwete Kukuza Tasnia ya Filamu

Posted on: August 6, 2015August 6, 2015 - jomushi
Post Tags: Kenya, William Rutto

Makamu wa Rais Wa Kenya, William Rutto akifungua maonyesho ya pili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Utamaduni Festival yajulikanayo kama JAMAFEST kwa kuwakaribisha washiriki kutoka…

Continue Reading....

Al Shaabab Wavamia Msikiti Kenya, Auwawa kwa Risasi Burundi

Posted on: May 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Al Shaabab, Kenya, Msikiti, Risasi Burundi
Al Shaabab Wavamia Msikiti Kenya, Auwawa kwa Risasi Burundi

VIONGOZI Kaskazini mwa Kenya wamesema wapiganaji wa kundi la kigaidi kutoka Somalia la Al Shaabab wamevamia msikiti mmoja eneo la Garissa kwa masaa kadhaa. Wapiganaji…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
thehabari