Je, Umeguswa, Tafadhali Changia Ujenzi wa Msikiti Huu

Kwa Jina la Mwenyezi/Mungu nina anza Andika , Nawashukuru Ndugu zangu WA TANZANIA, KENYA na wasio kuwa hao kwa Upamoja wao wa Michango yao ya hali na Mali katika Kuimarisha UJENZI WA MSIKITI UNAONA KATIKA PICHA . Nakushukuru BLOGS ZOTE ZA TANZANIA shukran za Pekee kwa Brother Mroki Mroki wa Father Kidevu Blog kwa kuwa Balozi Mzuri wa kulitangaza Jambo …

Al Shaabab Wavamia Msikiti Kenya, Auwawa kwa Risasi Burundi

VIONGOZI Kaskazini mwa Kenya wamesema wapiganaji wa kundi la kigaidi kutoka Somalia la Al Shaabab wamevamia msikiti mmoja eneo la Garissa kwa masaa kadhaa. Wapiganaji hao waliwahutubia waumini waliokuwa msikitini kwa karibu saa mbili kabla ya kutokomea msituni. Katika hotuba yao waliikosoa serikali ya Kenya na kuonya waumini dhidi ya kuwa majasusi wa serikali ya Kenya. Mwezi uliopita Al Shaabab …