Raila Odinga ‘aitisha’ mgomo wa wafuasi kupinga matokeo ya uchaguzi

KINARA wa muungano upinzani nchini Kenya Raila Odinga, amewashauri wafuasi wake kususia kazi siku ya Jumatatu kama njia ya kupinga matokeo ya uchaguzi uliofanyikia Jumanne iliyopita. Akihutubia wafuasi wake mtaani Kibera, Nairobi kwa mara ya kwanza kabisa tangu kutangazwa matokeo, ambapo Rais Uhuru Kenyatta alitangazwa mshindi, Bw Odinga amedai kuwa serikali ilikiwa imepanga kuwaua wafuasi wa upinzani kabla ya kutangazwa …

RIDHIWAN KIKWETE AHIMIZA WANANCHI KUJITOA SHUGHULI ZA MAENDELEO

Na Mwamvua Mwinyi, Chalinze MBUNGE wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amewahimiza wananchi kujenga tabia ya kujitolea katika shughuli za kimaendeleo pasipo kuachia Serikali/halmashauri na wahisani pekee. Aidha amesema ofisi yake na halmashauri wataendelea kuunga mkono juhudi za wafadhili na wadau wanaojitokeza kushirikiana nao kutatua changamoto zinazowakabili jimboni hapo ikiwemo elimu. Ridhiwani alitoa rai hiyo, wakati wa uzinduzi wa majengo …

WILAYA YA NEWALA INAHITAJI TEKNOLOJIA YA KISASA KUINUA KILIMO

   Mkuu wa Wilaya ya Newala, Aziza Mangosongo, akizungumza na maofisa ugani wakati akifungua mafunzo ya siku moja ya jinsi ya kutumia sayansi na teknolojia katika kuboresha kilimo kwa maofisa ugani kutoka  Halmashauri ya Wilaya ya Newala ambayo yameandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kupitia Jukwaa la Bioteknolojia kwa Maendeleo ya Kilimo (OFAB). Kutoka kushoto ni Mtafiti, …

NMB yaendelea kung’ara Maonesho ya Nane Nane, Arusha na Morogoro

          BENKI ya NMB imeendelea kufanya vizuri kwenye maonesho ya Nane Nane yanayoendelea katika kanda mbalimbali nchini. NMB Imeshika Nafasi ya kwanza kati ya taasisi za kifedha kwenye mikoa ya Arusha na Morogoro huku ikishika Nafasi ya tatu katika mkoa wa Dodoma. Benki ya NMB inashiriki katika maonesho ya Nane Nane maarufu kwa wakulima kwenye mikoa …

Paul Kagame Ashinda Uchaguzi kwa Asilimia 98.8

RAIS wa Rwanda Paul Kagame amethibitishwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa wiki iliopita na tume ya uchaguzi nchini humo kulingana na habari zilizotolewa. Taarifa zinasema kwamba tume hiyo ilimuongezea rais Kagame asilimia ya kura alizopata kutoka 98.63, ikiwa ni takwimu zilizotangazwa hapo awali hadi asilimia 98.79. Katika uchaguzi huo Kagame alichuana na wapinzani wawili, ambapo hakuna hata mmoja wao aliyefanikiwa …