JK Kenya, Atoa Heshima Kwenye Kaburi la Baba wa Taifa la Kenya

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika …

JK: Mwenye Tatizo na Muswada wa Habari Alete Maoni Serikalini

• Aunga mkono asilimia 100 staili ya Kampeni ya Magufuli • Asema Tanzania inahitaji mawazo mapya ili iweze kusonga mbele RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa kama wapo watu binafsi ama taasisi yoyote mahali popote wenye matatizo na Sheria ya Takwimu mpya ama Muswada wa Habari nchini basi wawasilishe mapendekezo yake Serikalini ili yafanyiwe …

Rais Kikwete Awaasa Watanzania Nje Kusaidiana Katika Fursa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka Watanzania wanaofanya kazi katika mashirika ya kimataifa nje ya nchi kuwasaidia Watanzania wenzao wenye sifa na uwezo kuweza kujiunga na mashirika hayo ya kimataifa. Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa Serikali haiwadai chochote Watanzania wanaoishi nje na kufanya kazi nje ya nchi bali kuweza kuisaidia nchi yao na ndugu zao pale …

Wakubwa Waunga Mkono Kazi ya Jopo la Rais Kikwete

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa Linalopendekeza Jinsi Dunia inavyoweza kukabiliana na majanga yajayo ya magonjwa ya milipuko, Jakaya Mrisho Kikwete , Julai 15, 2015, ameongoza vikao vya Jopo hilo ambalo kazi yake imeungwa mkono na nchi 21 ambazo zilichangia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ebola. Miongoni mwa mikutano ambayo Rais Kikwete ameiongoza …

Rais Kikwete Alivunja Bunge, Asema Nitawa-Miss Watanzania

RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amelivunja bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania mjini Dodoma mara baada ya kulihutubia ikiwa ni hatua za kumalizia utawala wake kabla ya kukabidhi kijiti kwa rais atakayechaguliwa hapo baadaye Oktoba. Katika hotuba yake ametaja mafanikio lukuki ambayo yamepatikana ndani ya utawala wake huku akijinasibu kutekeleza asilimia 88 ya ahadi zake kwa Watanzania. “…Tulipanga kufanya …