Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 657

Author: jomushi

Obama Amtumia Salamu Rasmi za Pole Rais Kikwete

Posted on: November 25, 2014November 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Rais Kikwete, Rais Obama, Salamu za Pole
Obama Amtumia Salamu Rasmi za Pole Rais Kikwete

Continue Reading....

Kala Jeremiah Azinduwa Video Mpya

Posted on: November 25, 2014November 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Kala Jeremiah, Usikate Tamaa, video
Kala Jeremiah Azinduwa Video Mpya

   Kala Jeremiah akichana mistari. Mwanamziki wa Hip hop, Kala Jeremiah amezindua video yake ya Wimbo Usikate Tamaa  aliomshirikisha Nuruwell katika Ukumbi wa Maisha Club, jijini…

Continue Reading....

Rais Kikwete Kurejea Nyumbani Novemba 29

Posted on: November 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Hospitali ya Johns Hopkins, Marekani, Rais Kikwete
Rais Kikwete Kurejea Nyumbani Novemba 29

ENDAPO ratiba ya madaktari wanaomtibu Rais Jakaya Kikwete katika Hospitali ya Johns Hopkins nchini Marekani itakwenda kama ilivyopangwa kiongozi huyo atarejea nchini Tanzania, Novemba 29,…

Continue Reading....

Msanii Jebby Kuachia Kitu Kimpya

Posted on: November 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Msanii Jebby
Msanii Jebby Kuachia Kitu Kimpya

MSANII wa siku nyingi wa kundi la TMK UNIT Jebby anatatajia kuachia wimbo wake mpya kuanzia tarehe 25 mwenzi huu au tareha 5 mwezi wa…

Continue Reading....

Shirikisho la Filamu Tanzania Lazinduwa Tuzo za filamu

Posted on: November 24, 2014 - jomushi
Post Tags: Shirikisho la Filamu, tanzania, Tuzo za filamu
Shirikisho la Filamu Tanzania Lazinduwa Tuzo za filamu

ZILE tuzo zilizosubiriwa kwa muda mrefu na watanzania sasa zimezinduliwa rasmi jijini Dara es Salaam. Zimezinduliwa rasmi kwa shamra shamra za aina yake mwishoni mwa…

Continue Reading....

Kenya Wavamia Kambi ya Al-Shabaab, Waua Wapiganaji 100

Posted on: November 24, 2014 - jomushi
Post Tags: Al-Shabaab, Kenya, William Ruto
Kenya Wavamia Kambi ya Al-Shabaab, Waua Wapiganaji 100

MAKAMO wa Rais wa Kenya, William Ruto, amesema kuwa askari wa usalama wa Kenya wamewaandama wapiganaji wa Al-Shabaab hadi kwenye kambi yao nchini Somalia, baada…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari