KATIKA mwezi wa Novemba kila mwaka jumuiya za kimataifa huadhimisha tukio ambalo hujulikana kama Movemba. Kampeni hiyo inahusisha kukuza kwa masharubu, kukusanya fedha na kuleta…
Continue Reading....Author: jomushi
Datius Jovit Atunukiwa Shahada ya Elimu DUCE
Datius Jovit Datius Jovit Datius Jovit Datius Jovit Kijana Datius akiwa katika Picha ya Pamoja na Baba yake Mzazi (nyuma ya babu yake aliyevaa miwani)…
Continue Reading....Serikali Yaunda Timu ya Usuluhishi Mgogoro wa Wafugaji na Wakulima Kiteto
WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amesema Serikali imeamua kuunda timu ya watu 10 kutoka kada tofauti wakiwemo viongozi wa dini ambao watapewa jukumu la…
Continue Reading....Jaji Ramadhani Aitaka Afrika Kuzingati Haki za Binadamu
Na Mtuwa Salira, EANA-Arusha RAIS wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR), Jaji Augustino Ramadhani amezitaka nchi za Afrika kuzingatia zaidi…
Continue Reading....16 Wakamatwa Kilimanjaro Vurugu za Wamasai na Mwekezaji
WATU 16, wakiwemo wanaume 11 na wanawake 5, wamekatwa na Jeshi la Polisi kufuatia vurugu za kugombea malisho katika Kijiji cha Miti Mirefu, wilaya ya…
Continue Reading....Rais Kikwete Atuma Rambirambi Vifo vya Wanahabari
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara kuomboleza…
Continue Reading....