Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Banki ya NMB PLC

Tag: Banki ya NMB PLC

NMB yaendelea kung’ara Maonesho ya Nane Nane, Arusha na Morogoro

Posted on: August 9, 2017 - jomushi
Post Tags: Banki ya NMB PLC
NMB yaendelea kung’ara Maonesho ya Nane Nane, Arusha na Morogoro

          BENKI ya NMB imeendelea kufanya vizuri kwenye maonesho ya Nane Nane yanayoendelea katika kanda mbalimbali nchini. NMB Imeshika Nafasi ya…

Continue Reading....

JWTZ wapokea vifaa vya michezo kutoka NMB

Posted on: August 7, 2017 - jomushi
Post Tags: Banki ya NMB PLC
JWTZ wapokea vifaa vya michezo kutoka NMB

        Na Mwandishi Wetu, BENKI ya NMB leo imekabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) inayotarajia kushiriki…

Continue Reading....

Benki zashauriwa kubuni bidhaa zitakazo wavuta masikini

Posted on: August 6, 2017August 6, 2017 - jomushi
Post Tags: Banki ya NMB PLC
Benki zashauriwa kubuni bidhaa zitakazo wavuta masikini

    MKUU wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Miraji Mtaturu ameyashauri mabenki ikiwemo NMB kubuni bidhaa zitakazowanufaisha Watanzania maskini ili kuondoa dhana inayowabaguzi ya…

Continue Reading....

Benki ya NMB yachangia Milioni 10 Tamasha la Usalama Barabarani

Posted on: August 5, 2017 - jomushi
Post Tags: Banki ya NMB PLC
Benki ya NMB yachangia Milioni 10 Tamasha la Usalama Barabarani

          BENKI ya NMB leo imekabidhi mchango wa jezi za mpira wa miguu seti 10 pamoja na fulana 500 zikiwa na…

Continue Reading....

NMB YAZINDUWA SIKU YA WALIMU MKOANI DODOMA

Posted on: July 31, 2017July 31, 2017 - jomushi
Post Tags: Banki ya NMB PLC
NMB YAZINDUWA SIKU YA WALIMU MKOANI DODOMA

      BENKI ya NMB imezindua rasmi siku ya walimu katika Mkoa wa Dodoma. Uzinduzi huo wa siku ya walimu Mkoa wa Dodoma ulizinduliwa…

Continue Reading....

Wafanyakazi Benki ya NMB Kilosa wamnunulia mguu mtoto mlemavu

Posted on: July 25, 2017July 25, 2017 - jomushi
Post Tags: Banki ya NMB PLC
Wafanyakazi Benki ya NMB Kilosa wamnunulia mguu mtoto mlemavu

        WAFANYAKAZI wa Benki ya NMB wilayani Kilosa, Morogoro kwa kushirikiana na Kitengo cha Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) cha benki hiyo wametoa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
thehabari