Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 405

Category: Habari za Nyumbani

Mama Salma Kikwete Atoa Changamoto Mkutanoni New York

Posted on: September 24, 2014September 26, 2014 - jomushi
Post Tags: Mama Salma Kikwete, New York
Mama Salma Kikwete Atoa Changamoto Mkutanoni New York

Na Anna Nkinda – Maelezo, New York NCHI za Mashariki na Kusini mwa Afrika ikiwemo Tanzania zinakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa fursa za elimu…

Continue Reading....

Rasimu Katiba Inayopendekezwa Yawasilishwa Bungeni Leo

Posted on: September 24, 2014 - jomushi
Post Tags: Katiba Inayopendekezwa, Yawasilishwa Bungeni
Rasimu Katiba Inayopendekezwa Yawasilishwa Bungeni Leo

Na Mwandishi Wetu, Dodoma RASIMU ya Katiba inayopendekezwa imewasilisha leo katika Bunge Maalum la Katiba mara baada ya Kamati ya Uandishi wa Katiba hiyo kumaliza…

Continue Reading....

RC Awatahadharisha NIDA Juu ya Wahamiaji Haramu

Posted on: September 23, 2014 - jomushi
Post Tags: NIDA, Wahamiaji Haramu
RC Awatahadharisha NIDA Juu ya Wahamiaji Haramu

Na Yohane Gervas, Rombo KUFUATIA uwepo wa wimbi kubwa la wahamiaji haramu mkoani Kilimanjaro, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini (NIDA) imetakiwa kuwa makini katika…

Continue Reading....

Wanafunzi wa Awali Tunduru Wasomea Chini ya Mti

Posted on: September 23, 2014 - jomushi
Post Tags: Chini ya Mti, Tunduru Wasomea, wanafunzi
Wanafunzi wa Awali Tunduru Wasomea Chini ya Mti

Na Joachim Mushi, Tunduru WANAFUNZI wa darasa la awali katika Shule ya Msingi Nakayaya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wanasomea chini ya mti kutokana na…

Continue Reading....

Flydubai Yatangaza Safari 3 Kuja Tanzania

Posted on: September 23, 2014September 23, 2014 - jomushi
Post Tags: Flydubai, Safari Kwenda Tanzania
Flydubai Yatangaza Safari 3 Kuja Tanzania

  SHIRIKA la ndege lenye makao yake Dubai leo limetangaza uzinduzi wa safari za ndege za Dar es Salaam, Zanzibar na Kilimanjaro nchini Tanzania. Safari…

Continue Reading....

Serikali Yawatahadharisha Wananchi na Vishoka wa Ardhi

Posted on: September 23, 2014 - jomushi
Post Tags: serikali, Upimaji na Ramani, Vishoka wa ardhi
Serikali Yawatahadharisha Wananchi na Vishoka wa Ardhi

Frank Mvungi – Maelezo SERIKALI imewataka wananchi kujihadhari na makampuni yanayojiingiza katika kazi za upimaji ardhi au uthamini bila ya kusajiliwa na bodi au halmashauri…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari