WANAHARAKATI wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao wametoa tamko huku…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Wake wa Marais Watakiwa Kutumia Nafasi Kuwatetea Wanawake na Watoto
Na Anna Nkinda – Maelezo, New York WAKE wa Marais pamoja na viongozi wametakiwa kuchukua hatua, kutumia sauti zao na nafasi yao ili kuhakikisha watoto, wasichana na…
Continue Reading....Albino Aliyekatwa Mikono Awaliza Viongozi Mkutanoni
Na Mwandishi Wetu MWANAMKE albino Mariam Stanford aliyepoteza mikono yake yote miwili wakati iliponyofolewa na majahili asiowajua Oktona7, 2008 ameitaka serikali kuwanyonga wote wanaopatikana na hatia…
Continue Reading....Mbunge wa Kalenga Apinga Uyaya Jimboni Kwake
MBUNGE wa Jimbo la Kalenga, CCM mkoani Iringa, Godfrey Mgimwa amepiga marufuku wanafunzi waliofanya mtihani wa taifa wa darasa la saba 2014 kwenda mijini kufanya…
Continue Reading....Mtandao wa Wanawake na Katiba Wawapongeza Wajumbe wa Bunge la Katiba…!
n] MTANDAO wa Wanawake na Katiba Tanzania umewapongeza wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na hasa wajumbe waliokuwa mstari wa mbele kupigania masuala mbalimbali yaliyokuwa…
Continue Reading....NSSF Yatoa Semina Kwa Maofisa Ajira na Fedha Dar
Na Joachim Mushi SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Temeke limefanya semina kwa maofisa ajira na Fedha zaidi ya 150 kutoka…
Continue Reading....