MTANDAO wa Wanawake na Katiba, TGNP pamoja na mashirika mengine yanayotetea haki za binadamu wameahidi kushirikiana kutoa elimu ya uraia na uhamasishaji juu ya Katiba…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Azam Yadhamini Maonesho Makubwa ya Keki Dar
Na Joachim Mushi, Dar es Salaam KAMPUNI ya Insights Productions Limited kwa udhamini wa Kampuni ya Azam Tanzania imeandaa maonesho makubwa ya keki yanayotarajia kufanyika…
Continue Reading....AWCAA Wamkabidhi Mama Kikwete Mashine ya Saratani
Na Anna Nkinda – Maelezo, Washington CHAMA cha Wanawake wa Afrika na Uelewa wa Saratani (African Women Cancer Awareness Assossiation – AWCAA) imemkabidhi Mke wa…
Continue Reading....Msajili Vyama vya Siasa Kuzitumia Redio za Jamii
Na Mwandishi Wetu, Sengerema OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kupitia Mradi wa kuimarisha Demokrasia na Amani (DEP) itaanza kutoa elimu inayohusu sheria…
Continue Reading....Wabunge Waanza Kuipigia Kura Katiba Inayopendekezwa
Na Mwandishi Wetu, Dodoma WABUNGE wa Bunge Maalum la Katiba wameanza kupiga kura kuipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa baada ya kuwasilishwa kwao na Kamati…
Continue Reading....Angalia Nafasi Kibao za Kazi za Mwezi Septemba, 2014
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/H/03 25 Septemba, 2014 TANGAZO LA NAFASI ZA…
Continue Reading....