HATIMAYE Bunge Maalumu la Katiba limehitimisha kazi yake leo Mjini Dodoma na kutolewa kwa matokeo ya upigaji kura kwa wajumbe kuipitisha Katiba inayopendekezwa. Akisoma taarifa…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
NSSF Yakisaidia Kitengo cha Wagonjwa Mahututi Muhimbili
Na Mwandishi Wetu MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umechangia kiasi cha shilingi milioni 20 kwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Msaada huo…
Continue Reading....Barabara ya Mwenge-Tegeta Yagharimu Bilioni 77.85
BARABARA ya Mwenge-Tegeta ya jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 12.9 imegharimu kiasi cha Sh. bilioni 77.85, fedha ambazo zimetolewa na Serikali ya…
Continue Reading....Lusekelo Mwaseba Ateuliwa Naibu Kamishna Mkuu TRA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Lusekelo Mwaseba kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Taarifa…
Continue Reading....JK Ataja Hatua Saba Zinazofanywa Kupunguza Msongamano Dar
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ametaja hatua saba ambazo Serikali yake imeanza kuzichukua ili kukabiliana na msongamano wa magari katika Jiji…
Continue Reading....Pinda Awataka ma-RC, DC Kwenda na Kasi ya BRN
Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAZIRI Mkuu, Mizengo Peter Pinda amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuendana na kasi ya Mpango wa MATOKEO Makubwa Sasa (BRN)…
Continue Reading....