Na Aron Msigwa-MAELEZO JAMII imeaswa kujenga utamaduni wa kuwasaidia watu na makundi yenye mahitaji maalumu hususan wafungwa walio magerezani na wasiojiweza ili kudumisha upendo na…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Ziara ya Naibu Katibu Mkuu Wa CHADEMA Zanzibar Salimu Mwalimu Mkoani Arusha.
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Salimu Mwalimu Salimu akifafanua jambo kwa Meya wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro katika ziara yake ya kumtembelea Meya huyo,Kulia…
Continue Reading....Magonjwa Yasiyoambukiza Yaongezeka Tanzania.
Kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo magonjwa ya moyo ,kisukari na saratani ,Watanzania wameaswa kuzingatia lishe bora na mtindo bora wa maisha ili kuepuka…
Continue Reading....Mahakama Kuu Mwanza Yaifuta Kesi ya Uchaguzi ya Angelina Mabula
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza leo imetupilia mbali kesi ya Kupinga Matokeo ya ubunge katika Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza, iliyofunguliwa na aliekuwa mgombea ubunge katika jimbo hilo…
Continue Reading....Wizara ya Afya Yaanzisha Kituo cha Kuratibu Matukio ya Sumu
Na Mwanahamisi Matasi – Maelezo WIRAZA ya Afya na Ustawi wa Jamii imeanzisha kituo cha kuratibu matukio ya sumu nchini kilichopo katika maabara ya Mkemia…
Continue Reading....Rais Magufuli Amshtukiza Sumaye Muhimbili
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli, tarehe 11 Januari, 2016 amemtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya…
Continue Reading....