Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Marekani
  • Page 3

Tag: Marekani

Rais Obama Kulitumia Jeshi Kupambana na Ebola

Posted on: October 17, 2014 - jomushi
Post Tags: Jeshi, Marekani, Rais Obama
Rais Obama Kulitumia Jeshi Kupambana na Ebola

RAIS wa Marekani, Barack Obama amethibitisha wito wa kulitumia jeshi la nchi hiyo na wale wa akiba iwapo watahitajika kupambana na mlipuko wa ugonjwa wa…

Continue Reading....

Mkuu wa Usalama Marekani Abwaga Manyanga..!

Posted on: October 2, 2014 - jomushi
Post Tags: Marekani, Mkuu Idara ya Usalama, Vikwazo vya Marekani Kuhusu Ushoga
Mkuu wa Usalama Marekani Abwaga Manyanga..!

MKUU wa Idara ya Usalama nchini Marekani, Julia Pierson ambaye idara yake inahusika na kumlinda Rais wa nchi hiyo Barack Obama, ameamua kubwaga manyanga kazini…

Continue Reading....

Ebola Sasa ‘Yamfuata’ Obama Marekani

Posted on: October 1, 2014October 1, 2014 - jomushi
Post Tags: Ebola, Marekani, Yamfuata Obama
Ebola Sasa ‘Yamfuata’ Obama Marekani

IKIWA ni siku chache baada ya Rais wa Marekani, Barrack Obama kutangaza kutoa askari kwenda kusaidia mapambano na ugonjwa wa Ebora katika nchi zenye ugonjwa…

Continue Reading....

Rais Kikwete Awasili New York, Marekani

Posted on: September 17, 2014 - jomushi
Post Tags: Marekani, New York, Rais Kikwete
Rais Kikwete Awasili New York, Marekani

Rais Kikwete akiagana na viongozi mbalimbali waliofika kumuaga katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Septemba 15, 2014. Kushoto…

Continue Reading....

Ujerumani Kusaidia Silaha Iraq, Marekani Waombwa Silaha

Posted on: September 1, 2014 - jomushi
Post Tags: Iraq, Marekani, Silaha, Ujerumani
Ujerumani Kusaidia Silaha Iraq, Marekani Waombwa Silaha

UJERUMANI inatarajia kupeleka silaha kwenye Jeshi la Wakurd wa Iraq zikiwemo bunduki na silaha nzito zinazoweza kutumika kushambulia kwenye vita kukabiliana na mashambulizi ya vifaru…

Continue Reading....

Marekani Yaimwagia Lawama Misri na Falme za Kiarabu

Posted on: August 26, 2014 - jomushi
Post Tags: Falme za Kiarabu, Marekani, Misri
Marekani Yaimwagia Lawama Misri na Falme za Kiarabu

MAOFISA nchini Marekani wamesema mataifa ya Misri na Umoja wa Falme za Kiarabu zilihusika na mashambulio nchini Libya wiki iliyopita kuwalenga wanamgambo wa Kiislamu wanaopambana…

Continue Reading....

Posts navigation

Newer posts
thehabari