Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Marekani

Tag: Marekani

Rais wa Marekani Trump Akiwa Ziarani Nchini Israel

Posted on: May 22, 2017 - jomushi
Post Tags: Marekani
Rais wa Marekani Trump Akiwa Ziarani Nchini Israel

    RAIS wa Marekani Donald Trump amewasili nchini Israel akiendelea na ziara yake ya kikazi katika maeneo ya Mashariki ya Kati ambapo pia anatarajiwa…

Continue Reading....

Rais Barack Obama Atupia ‘Madongo’ Donald Trump

Posted on: June 15, 2016 - jomushi
Post Tags: Marekani
Rais Barack Obama Atupia ‘Madongo’ Donald Trump

RAIS wa Marekani, Barack Obama, ameshtumu vikali matamshi ya mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump, kwamba waislamu wasiruhusiwe kuingia Marekani. Obama…

Continue Reading....

Mitt Romney Amwita Mgombea Trump ‘Tapeli’

Posted on: March 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Marekani
Mitt Romney Amwita Mgombea Trump ‘Tapeli’

ALIYEKUWA mgombea wa urais kupitia Chama cha Republican nchini Marekani, Mitt Romney ameibuka na kukitaka chama chake kutomteuwa Donald Trump huku akimtaja mgombea huyo aliyeshinda…

Continue Reading....

Wanajeshi Wanne wa Marekani Wauwawa, 40 Walipuliwa Nigeria

Posted on: July 17, 2015 - jomushi
Post Tags: Marekani, Mlipuko, Wanajeshi
Wanajeshi Wanne wa Marekani Wauwawa, 40 Walipuliwa Nigeria

MTU mwenye silaha amewaua askari wanne wa Jeshi la Majini la Marekani katika shambulio lililofanywa kwenye majengo mawili ya jeshi hilo katika Mji wa Chattanooga,…

Continue Reading....

Mapokezi ya Rais Kikwete Alipowasili Kutoka Marekani

Posted on: November 30, 2014 - jomushi
Post Tags: Mapokezi, Marekani, Rais Kikwete
Mapokezi ya Rais Kikwete Alipowasili Kutoka Marekani

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa abiria wakati ndege aliyopanda ilipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani…

Continue Reading....

Rais Kikwete Kurejea Nyumbani Novemba 29

Posted on: November 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Hospitali ya Johns Hopkins, Marekani, Rais Kikwete
Rais Kikwete Kurejea Nyumbani Novemba 29

ENDAPO ratiba ya madaktari wanaomtibu Rais Jakaya Kikwete katika Hospitali ya Johns Hopkins nchini Marekani itakwenda kama ilivyopangwa kiongozi huyo atarejea nchini Tanzania, Novemba 29,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
thehabari