IGP, Said Mwema Na Mwandishi Wetu, Magu WANAWAKE wawili wameuawa kikataili kwa kuchunjwa katika matukio mawili tofauti wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, Kwa kile kinachodaiwa ni imani za kishirikina. Jeshi la Polisi wilayani Magu, limethibitisha katika taarifa zake kutokea kwa matukio yote mawili, na kueleza yametokea katika vijiji vya Mwakiloba na Lutubiga, Kata ya Lutubiga wilayani humo, usiku wa kuamkia …
Kikwete awakumbuka Prof Mushi na Mwakiteleko
Marehemu Danny Mwakiteleko RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salaam za rambirambi Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof. Rwekaza Mukandala kufuatia kifo cha Mhadhiri Mwandamizi Prof. Samuel S. Mushi wa Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala. Katika taarifa hiyo pia Kikwete amempa pole Ofisa Mtendaji Mkuu wa New Habari (2006) Limited, Hussein Mohamed Bashe kufuatia kifo cha …
Mukama aiponda CCM, adai viongozi ni ‘waroho’ wa madaraka
Katibu Mkuu wa CCM, Willson Mukama Dodoma, KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Willison Mukama amekiponda chama chake kwa kusema viongozi wengi ndani ya chama hicho ni ‘waroho’ (tamaa) wa madaraka. Mukama alitoa kauli mjini Dodoma jana kwenye Ukumbi wa Halmashauri Kuu CCM, wakati akifungua Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM). Hivyo akasema …
Nape adai kunasa nyaraka za siri dhidi ya hujuma za Chadema
Katibu wa NEC CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza baada ya kuzindua tawi la wanachama wa CCM la wasomi wa Chuo Kikuu cha Tumaini (SIMCO), katika mkutano uliofanyika katika mji mdogo wa Himo mkoani Kilimanjaro, jana. Wengine kutoka kushoto, wapili ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Vicky Nsilo Swaijaro na kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro …
Vilabu vya Toto, Kagera, Moro utd, JKT, Villa na Mtibwa vyaomba uthibitisho wa wachezaji
Vilabu vya Toto African, Kagera Sugar, Moro Utd, Oljoro JKT, Villa Squad na Mtibwa Sugar vimeliandikia Shirikisho la Soka nchini (TFF) kuomba uthibitisho wa wachezaji ambao imewaorodhesha kwenye barua zao. Kupata majina hayo bofya hapa; REG VPL 2011-2012
TFF yamfungia mwamuzi miaka 5
KAMATI ya Rufani ya TFF iliyokaa Julai 23 mwaka huu imesikiliza rufani iliyokatwa na Mwamuzi wa Daraja la Kwanza, Kamwanga Tambwe. Baada ya kuangalia nyaraka zilizotolewa kwenye kamati, kumsikiliza na kumhoji, kamati imefikia uamuzi ufuatao; Kamati ya Rufani imeona rufani hii haina msingi, na hivyo kutoa adhabu zifuatazo; 1. Kumfungia Mwamuzi Kamwanga Tambwe kutojihusisha na masuala ya mpira wa miguu …