Take a stroll down memory lane with these classic photos of iconic people in their younger and more advanced years. The rich and famous are not even immune to the plodding of time.
Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania?
Na Silas Severe “NDUGU zangu wa Watanzania ninatambua kabisa kuwa hili si jukwaa la siasa ila nimeona ni heri niwaletee niliyopata kuyaona katika jukwaa la siasa- kwamba; Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania? Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake kwa mujibu wa mawazo yake kwakuwa ana utashi wake binafsi hivyo naomba nitoa mtizamo wangu, na sitatoa maoni …
Dola milioni 150 zachangwa kuisaidia Somalia
Waziri mkuu wa uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuwasili nchini Somalia kuanzisha rasmi kampeni ya kukabiliana na baa la njaa nchini humo. Waziri huyo mkuu ataandamana na waziri wake wa mashauri ya nchi za kigeni na wake zao. Viongozi hao wamesema wako nchini Somalia kuonyesha wanawaunga mkono raia wa Somalia. Raia wa Uturuki wamechanga kiasi cha dola milioni 150 hadi …
Njaa, njaa, njaa…ni kwa wakazi wa Wilaya ya Muleba
Mkoa wa Kagera hasa wilayani Muleba, wakulima na wakazi wake ambao hutegea zao la ndizi kama chakula kikuu eneo hilo, hivi sasa wanakabiliwa na njaa kali kutokana na migomba kushambuliwa na mdudu maarufu kwa jina la mnyauko. Ugonjwa huu ni hatari sana na umekausha kabisa mashamba mengi eneo hilo. Wakazi hao kwa sasa wanategea chakula cha kununua kutoka nje ya …
kitabu ” UKOMBOZI WA PILI WA TAIFA LETU” bado kipo mtaani.
kwa mawasiliano zaidi ya jinsi ya kupata kitabu hiki, piga simu no, 0655025609 0786025609 kisandudp@yahoo.com
Hali ya wakili anayedaiwa ‘kutapeli’ mabilioni bado tete, kesi yaendelea
Na Janeth Mushi, Arusha WAKILI maarufu mkoani hapa Mediam Mwale, ambaye juzi alisomewa mashitaka 13 ya kuhujumu uchumi na kughushi nyaraka na kujipatia fedha sh. bilioni 18 kinyume cha sheria bado anaendelea kusota wodini katika hospitali ya Mkoa ya Mt.Meru kwa matibabu kutokana na hali yake kutokuwa nzuri kiafya. Mwale aliyesomewa mashtaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya …