Je umeshawahi kuwa na mashaka yeyote kuhusu kuoa? Je unafikiri haupo tayari kuoa? Kama majibu ya maswali haya ni NDIO, basi zingatia masuala…
Continue Reading....Category: Mahusiano
Maalum kwa Kina Dada:Utajua Vipi Kama Mwanaume Hana Mpango wa Muda Mrefu na Wewe?
Hii ni taarifa maalum kwa kina dada. Je utafahamu vipi kama jamaa hana mpango wa kukufanya mpenzi wake au pengine hata kufunga ndoa na…
Continue Reading....Kwa nini watu hupoteza hamu ya kujamiiana?
Katika utafiti uliofanyika miaka ya karibuni nchini Marekani, imebainika kwamba kati ya ndoa 6,000 zilizovunjika, asilimia 57 zimesababishwa na mwenza mmoja au wote kupenda kuchati…
Continue Reading....Sababu Kuu Tatu zinazopelekea Ndoa Kuvunjika!
Mtaalam wa masuala ya mapenzi na ndoa, Timothy Scheiman, anasema Talaka [divorce] huwa zinatokea na tofauti huwa ni nyingi zisizo na muafaka [irreconcilable differences],…
Continue Reading....Nimepewa Mimba na ‘House Boy’; Je, Nimwambie Mumewangu?
NDUGU Mwandishi wa TheHabari, naomba utume hii post ili wasomaji wako waweze kunisaidia mawazo na ushauri. Mimi naitwa Doroth, nimeolewa na Mume ninayempenda kwa miaka…
Continue Reading....Tendo la ndoa; Tiba Mbadala ya Maradhi ya Moyo, Ubongo, Maumivu ya Kichwa?
INGAWA tendo la ndoa lisipofanywa kwa kuzingatia kanuni na taratibu, sambamba na umakini, linaweza kusababisha maradhi, lakini kwa wanandoa, tendo hilo linatajwa kuwa na manufaa…
Continue Reading....