Kamati Kuu ya Mazishi ya aliyekuwa msanii mashuhuri wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba, imedai msanii huyo amefariki dunia akiwa maskini, kinyume kabisa cha umaarufu…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Wabunge: Vigogo dawa za kulevya wakamatwe
Wabunge jana walicharuka bungeni wakitaka vigogo wa dawa za kulevya wakamatwe na kufikishwa mahakamani kwani tatizo la dawa za kulevya limezidi kuwa kubwa sanjari na…
Continue Reading....Dk. Slaa ahimiza kuwepo haki, matumaini
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema kuzungumzia amani na utulivu majukwaani bila kwanza kudai kuwepo kwa haki na…
Continue Reading....Maximo aibuka Brazil, atoa ushauri kuhusu timu ya Taifa Tanzania
Na Anna Nkinda – Sao Paul, Brazil VILABU vya soka nchini vimeshauriwa kuwa na timu nzuri kuanzia ngazi ya watoto wenye umri wa miaka nane,…
Continue Reading....Ole Millya ahamia Chadema
MBOWE ASEMA AMEFANYA UAMUZI WA KIJASIRI, MUKAMA NAPE WAMKEJELI KITENDO cha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Mkoa wa Arusha, James Millya kukihama…
Continue Reading....