Category: Habari za Nyumbani
Skauti Mkuu wa Tanzania, Mwantumu Mahiza Aapishwa
Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania mteule, Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam Jumatatu Juni 23, 2013. Rais Jakaya Mrisho Kikwete…
Continue Reading....TGNP yakabidhi Vifaa vya Mawasiliano Vituo vya Taarifa na Maarifa
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP), umepanua wigo wa mawasiliano kwa makundi ya pembezoni hasa wanwake kwa kuwapatia vifaa vya teknolojia ya habari na Mawasiano (TEHAMA)…
Continue Reading....Nelson Mandela yu Mahututi…!
WANANCHI wa Afrika Kusini wanaelekea kazini asubuhi ya leo wakiwa na simanzi huku wakisubiri habari zaidi kuhusu afya ya rais wao mstaafu Nelson Mandela ambaye…
Continue Reading....Ratiba Ziara ya Obama Hadharani, Kukaa Siku Mbili
IKULU ya Marekani na Idara ya Habari (Maelezo), wametangaza ratiba ya Rais Barrack Obama atakapozuru Tanzania huku ikionyesha kuwa atakaa siku mbili tu, kuanzia Julai…
Continue Reading....CHADEMA Yalia Hujuma Kesi ya Tindikali Igunga
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewatuhumu viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Jeshi la Polisi kwa kupanga njama ili kuwaunganisha viongozi wa juu…
Continue Reading....