Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 643

Category: Habari za Nyumbani

Sumaye: Epukeni Wanaotoa Fedha kwa Kutumia Mgongo wa Dini

Posted on: June 24, 2013 - jomushi
Sumaye: Epukeni Wanaotoa Fedha kwa Kutumia Mgongo wa Dini

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amewataka viongozi wa dini na Watanzania kwa jumla kuwa makini na watu wanaojipitisha na kutoa fedha kutaka uongozi akisema hiyo…

Continue Reading....

Pinda anatupeleka wapi Watanzania?

Posted on: June 23, 2013June 24, 2013 - Rungwe Jr.

Hivi karibuni waziri mkuu, Mizengo Pinda alikaririwa na vyombo mbalimbali vya habari akisema “Wapigwe tu, watakao kataa kutii amri!…” wakati anazungumzia Bungeni vurugu zinazoendelea kutokeza…

Continue Reading....

Lombero: Nazika Viungo Vyangu Nikiwa Hai

Posted on: June 23, 2013 - jomushi
Lombero: Nazika Viungo Vyangu Nikiwa Hai

KWA mtu uliyekutana naye miaka saba iliyopita wakati huo akiwa dereva wa magari makubwa aliyefanya kazi zake mchana na usiku huku akilazimika kunyanyua baadhi ya…

Continue Reading....

Maaskofu: Serikali Isitumie Nguvu Kudhibiti Vurugu

Posted on: June 23, 2013 - jomushi
Maaskofu: Serikali Isitumie Nguvu Kudhibiti Vurugu

MAASKOFU wa Kanisa Katoliki nchini wameitaka Serikali kutumia njia ya mazungumzo kumaliza migogoro, badala ya kutumia jazba na nguvu. Vilevile, wamesema kuwa hawako tayari kukaa…

Continue Reading....

Wabunge Msigwa, Mwigulu Nchemba Nusura Wachapane Makonde Dodoma

Posted on: June 23, 2013June 23, 2013 - jomushi
Wabunge Msigwa, Mwigulu Nchemba Nusura Wachapane Makonde Dodoma

MBUNGE wa Jimbo la Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa na mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), Mwigulu Nchemba jana nusura wachapane makonde baada ya kutupiana…

Continue Reading....

UVCCM Taifa Wapinga Mfumo wa Serikali Tatu

Posted on: June 23, 2013 - jomushi
UVCCM Taifa Wapinga Mfumo wa Serikali Tatu

  MWENYEKITI wa Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa (UVCCM), Sadifa Juma Hamisi, amepinga vikali kuwepo kwa mfumo wa Serikali tatu kama inavyopendeka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari