JESHI la Polisi nchini limechukua hatua za kujiimarisha zaidi katika kuukabili uhalifu kisasa zaidi kwa kuamua kuviunganisha vituo vyake vikubwa kwenye mtandao wa mawasiliano katika…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Bilionea Auawa kwa Risasi 20 Moshi
MFANYABIASHARA tajiri wa Mirerani na Jijini Arusha, Erasto Msuya, ameuawa kwa kupigwa risasi zaidi ya 20 kwa kutumia bunduki aina ya Sub Machine Gun (SMG),…
Continue Reading....Wanawake Waingereza Wamwagiwa Acid Zanzibar, Obama Kuisaidia JKIA
POLISI mjini Zanzibar wameanza uchunguzi na kuwatafuta wanaume wawili ambao wanatuhumiwa kuwamwagia maji ya acid wanawake wawili raia wa Uingereza wakiwa matembezini mjini. Taarifa kutoka…
Continue Reading....CCM Yawagalagaza Wapinzani Uongozi wa Halmashauri Kibondo
Na Mwandishi Wetu, Kibondo KATIKA hali inayothibitisha ule usemi wa mwanamuziki Chamilion wa Uganda kuwa “fitina yako bahati yangu” wapinzani wameanguka baada ya kushindwa vibaya…
Continue Reading....Tendwa Afunguka Baada ya Kustaafu…!
SIKU moja baada ya kutangazwa rasmi kwamba aliyekuwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa amestaafu kwa mujibu wa sheria, amejitokeza na kueleza yaliyo…
Continue Reading....CCM Yasema Inaimani na Tume ya Mabadiliko ya Katiba
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema bado kina imani na Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini, katika mchakato unaoendelea wa kupata katiba mpya. Imesema licha ya…
Continue Reading....