Mratibu wa hafla hiyo, Dina Marios kutoka Dada Dina Cares (pichani Mbele), akiwa sambamba na baadhi ya Wadau waliojitokeza kuifanikisha hafla hiyo ya chakula…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Japan Kuisaidia Tanzania Kuwa Kitovu cha Uwekezaji Afrika
*Yapanga Kuboresha Reli ya Kati na Bandari ya Dar Na Mwandishi Maalum JAPAN imeamua kuanzisha ushirikiano mkubwa zaidi na Tanzania ambako nchi hiyo itaifanya Tanzania…
Continue Reading....Ngoma Afrika Band yamwaga radhi tamasha la Waafrika Ujerumani!
Baadhi ya mashabiki wakiume wakiwa wamevamia jukwaa na kuburudika pamoja na Ngoma Afrika Band (Band ya Watanzania), ambayo ilikuwepo katika tamasha hilo kutumbuiza, ambapo ilikuwa…
Continue Reading....Tamasha la Waafrika Ujerumani lafana!
Picha zaidi za matumbuizo mbalimbali kutoka Bendi tofauti, ikiwemo Ngoma Africa Band kutoka Tanzania zitawajia punde.
Continue Reading....Mtambo Dawa za Kulevya Waingizwa Nchini
WAKATI matukio ya baadhi ya vigogo na wasanii maarufu wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulenya hayajapoa, imebainika kuwa mtambo maalumu wa kuchanganya na…
Continue Reading....dev.kisakuzi.com Yawatakia Wasomaji Idd Njema
Mtandao wa dev.kisakuzi.com (www.thehabari.com) unapenda kuwatakia wasomaji wake na Watanzania kwa jumla sherehe njema ya Siku Kuu ya Idd El fitiri inayoanza kusherehekewa leo (kwa…
Continue Reading....