Makao Makuu ya kituo cha habari na mawasiliano cha Redio ya jamii Sengerema Fm mkoani Mwanza kunakofanyika warsha ya wiki moja kwa redio za jamii…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Picha zaidi za Tamasha la Waafrika, Ujerumani!
Lile Tamasha kubwa la Waafrika lilofanyika mjini Tuebingen, Ujerumani lilifikia tamati jana siku ya Jumapili tarehe 11. Tamasha hilo lilianza tokea tahere 8 mwezi huu…
Continue Reading....‘Watanzania Watakiwa Kuwajali Yatima’
Na Anna Nkinda – Maelezo WATANZANIA wametakiwa kujenga tabia ya kuwajali watu wenye mahitaji maalum ikiwa ni pamoja na watoto yatima na wanaoishi katika mazingira…
Continue Reading....Mbeya Yetu Blog Yashinda Maonesho ya Nanenane Ki-Kanda
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Deodatus Kinawilo aliye simama Mbele akipokea Maelezo ya Kina juu ya…
Continue Reading....Sheikh Ponda Awekwa Chini ya Ulinzi Muhimbili
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda yupo chini ya ulinzi huku akitibiwa majeraha katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.…
Continue Reading....