Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 567

Category: Habari za Nyumbani

Serikali Yasema Haijafuta Daraja Ziro Kidato cha Nne..!

Posted on: November 4, 2013November 4, 2013 - jomushi
Serikali Yasema Haijafuta Daraja Ziro Kidato cha Nne..!

Na Joachim Mushi SERIKALI imesema haijafuta daraja ziro kwenye mtihani wa taifa kama inavyo endelea kutafsiriwa na wananchi wengi mara baada ya kutoa viwango vipya…

Continue Reading....

Vita ya Lema na Zitto Yafika Pabaya, Lema Asema ni ‘Mnafiki’…!

Posted on: November 4, 2013November 4, 2013 - jomushi
Vita ya Lema na Zitto Yafika Pabaya, Lema Asema ni ‘Mnafiki’…!

VITA vya maneno kati ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe imefika pabaya. Vita hiyo ya maneno…

Continue Reading....

Mjumbe wa Tume ya Katiba Acharangwa Mapanga Dar

Posted on: November 4, 2013 - jomushi
Mjumbe wa Tume ya Katiba Acharangwa Mapanga Dar

MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini, Dk Sengondo Mvungi amejeruhiwa usiku wa kuamkia jana, baada ya kukatwa kwa mapanga na watu wasiojulikana waliovamia…

Continue Reading....

Mama Tunu Pinda Afunga Rasmi Maonesho ya Wajasirimali wa MOWE Jijini Dar

Posted on: November 2, 2013 - jomushi
Mama Tunu Pinda Afunga Rasmi Maonesho ya Wajasirimali wa MOWE Jijini Dar

Mama Tunu Pinda akikaribishwa kufunga maonyesho ya wiki ya Wakinamama Wajasiriamali na Mratibu wa Kitaifa wa Programu ya kuendeleza wajasirimali wanawake Tanzania kutoka ILO, Noreen…

Continue Reading....

Angalia Matokeo ya Mtihani Darasa la Saba 2013..!

Posted on: November 2, 2013November 4, 2013 - jomushi
Angalia Matokeo ya Mtihani Darasa la Saba 2013..!

Kuangalia matokeo ya darasa la saba 2013  tafadhali bofya hapa;- http://www.necta.go.tz/matokeo_html_2013/psle.htm

Continue Reading....

Upatikanaji Huduma za Maji Rombo Tatizo

Posted on: November 1, 2013 - jomushi
Upatikanaji Huduma za Maji Rombo Tatizo

Na Yohane Gervas, Rombo IMEELEZWA kuwa hali ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Wilaya ya Rombo imekua mbaya hasa katika tarafa za Mengwe na Tarakea.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari