Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 566

Category: Habari za Nyumbani

DC Handeni Awataka Wananchi Kutumia Tamasha la Utamaduni Kutafuta Fursa

Posted on: November 5, 2013 - jomushi
DC Handeni Awataka Wananchi Kutumia Tamasha la Utamaduni Kutafuta Fursa

Na Mwandishi Wetu, Handeni MKUU wa wilaya Handeni, DC Muhingo Rweyemamu, amewataka wananchi wa Handeni, mkoani Tanga kulitumia Tamasha la Handeni kwa ajili ya kutafuta…

Continue Reading....

Rais Kikwete Aenda Afrika Kusini kwa Vikao Muhimu

Posted on: November 4, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Aenda Afrika Kusini kwa Vikao Muhimu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini mchana wa leo, Novemba 4, 2013, kwenda Afrika Kusini kwa ziara ya kikazi…

Continue Reading....

JK Aomboleza Kifo cha Jaji Mstaafu Hillary Mkate

Posted on: November 4, 2013 - jomushi
JK Aomboleza Kifo cha Jaji Mstaafu Hillary Mkate

Rais Jakkaya Kikwete akimfariji Mwenyekitio wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva baada ya kuaga mwili wa marehemu Jaji Mstaafu Hilary Mkate leo Oktoba…

Continue Reading....

Balozi Mteule wa Vietnam Akabidhi Hati Ikulu

Posted on: November 4, 2013November 4, 2013 - jomushi
Balozi Mteule wa Vietnam Akabidhi Hati Ikulu

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi Mteule wa Vietnam hapa nchini, Vo Thanh Nam huko Ikulu hapa Dar es Salaam RAIS wa Jamhuri…

Continue Reading....

Serikali Yaandaa Mafunzo ya Majadilino kwa Maofisa

Posted on: November 4, 2013November 4, 2013 - jomushi
Serikali Yaandaa Mafunzo ya Majadilino kwa Maofisa

Na Magreth Kinabo – Maelezo SERIKALI imeandaa mafunzo ya majadiliano ya mikataba kwa wataalamu mbalimbali ili kuwapa mbinu za kuendesha mikataba ya kibiashara inayohusu rasilimali za nchi kwa manufaa ya Watanzania. Kauli hiyo imetolewa leo na…

Continue Reading....

Dk. Bilal Ataka Korosho Kuchakatua kwa 100% Nchini

Posted on: November 4, 2013 - jomushi
Dk. Bilal Ataka Korosho Kuchakatua kwa 100% Nchini

Waziri wa Kilimo, Eng. Christopher Chiza, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua kongamano hilo. Makamu wa Rais Dk. Bilal, akiwa katika picha ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari