VITA ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 imeingia katika sura mpya baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye kumlalamikia mrithi wake katika…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Lowassa Ataka Serikali ya JK Ifanye Maamuzi Magumu..!
Na Damas Makangale, Mhariri MOblog WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwa mara nyingine tena ameibuka na kauli ambayo aliwahi kuitoa huko nyuma ya viongozi…
Continue Reading....Ikulu Yatoa Pole Msiba wa Vuai Ali Vuai, Azikwa Zanzibar
Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha Pongwe pawani wakichukua jeneza lenye mwili wa Marehemu Baba yake Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali…
Continue Reading....WAMA, PRRR Kushirikiana Kutokomeza Saratani ya Shingo ya Uzazi na Matiti
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (wa tatu mstari wa mbele kulia) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya ujumbe kutoka…
Continue Reading....Makamu wa Rais Tanzania Azungumza na Viongozi wa Selcom Wireless Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya Viongozi wa Selcom Wireless Tanzania, Meneja Miradi wa Selcom,…
Continue Reading....Lowassa: Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa Hauna Meno
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa amesema ana shaka kama Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Result Now), utafanikiwa kutokana na Kitengo cha Utekelezaji, Ufuatiliaji na…
Continue Reading....