UTANGULIZI Wizara imekusanya maoni ya Wadau wa Elimu kuhusu Upangaji wa Viwango vya Alama (Grade Ranges) katika Mitihani ya Kuhitimu Kidato cha Nne na cha…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Sumbu Galawa Afariki Dunia, Ikulu Yamkumbuka
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Singida,…
Continue Reading....Baba Mzazi wa Wema Sepetu Aagwa, Azikwa Unguja
Jeneza la Marehemu Balozi Issac Abraham Sepetu, likiwa limebebwa na Askari Polisi na kulifikisha katika kaburi lake yalipofanyika mazishi kijijini kwao Mbuzini Wilaya ya…
Continue Reading....Saini Zakusanywa Kumng’oa Spika wa Bunge Makinda Tanzania
MBUNGE wa Nzega, Dk Khamis Kigwangalla, (CCM), leo anatarajiwa kuanza kukusanya saini za wabunge akitafuta kuungwa mkono katika hoja ya kutokuwa na imani na Spika…
Continue Reading....Mwanafunzi Aliye Bakwa Hadi Ujauzito, Aomba Kufanya Mtihani
VITENDO vya ubakaji vimeendelea kuumiza akili za wapigania haki na ustawi wa wanawake nchini Tanzania kwa muda mrefu sasa. Miongoni mwa kesi hizi zimehusisha wasichana…
Continue Reading....Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi NSSF Watembelea Miradi Dar
Mmoja wa maofisa wa juu na mhandisi kutoka NSSF akifafanua jambo kwa wajumbe wa bodi. Na Joachim Mushi, Dar es Salaam WAJUMBE wa Bodi ya…
Continue Reading....