Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 562

Category: Habari za Nyumbani

Rais Kikwete Avionya Vyombo vya Habari Kuhusu Uchochezi

Posted on: November 11, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Avionya Vyombo vya Habari Kuhusu Uchochezi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amevitaka vyombo vya habari vya Tanzania kuonyesha ukomavu katika kuisaidia nchi kujenga mahusiano na nchi…

Continue Reading....

Zitto Kabwe Akanusha Tuhuma Zilizoibuliwa Juu Yake, Aitaka Chadema Kutoa Tamko

Posted on: November 10, 2013 - jomushi
Zitto Kabwe Akanusha Tuhuma Zilizoibuliwa Juu Yake, Aitaka Chadema Kutoa Tamko

TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. KABWE (MB) kuhusiana na kinachoitwa “Taarifa ya Siri ya Chadema”   Ndugu Wanahabari,   NILIPOKUWA katika ziara ya bara…

Continue Reading....

Tumejipanga Kukabiliana na Ugaidi, Asema Waziri Mkuu

Posted on: November 10, 2013 - jomushi
Tumejipanga Kukabiliana na Ugaidi, Asema Waziri Mkuu

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali kupitia polisi inaendelea kujipanga kukabiliana na matishio mbalimbali ya usalama, ukiwamo ugaidi. Akitoa hoja ya kuahirisha Bunge Dodoma jana,…

Continue Reading....

AU Yaipongeza APRM kwa Kuchagiza Maendeleo ya Afrika

Posted on: November 10, 2013 - jomushi
AU Yaipongeza APRM kwa Kuchagiza Maendeleo ya Afrika

Na Hassan Abbas, Addis Ababa UMOJA wa Afrika umeupongeza Mpango wake wa Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) kwa kuzisaidia nchi za Afrika kuepuka migogoro, kuweka msiingi…

Continue Reading....

Uliwahi Kushuhudia Maiti Ikifufuka Kaburuni, Hii Imetokea Brazil…!

Posted on: November 9, 2013November 9, 2013 - jomushi
Uliwahi Kushuhudia Maiti Ikifufuka Kaburuni, Hii Imetokea Brazil…!

UNAWEZA kuona kama maajabu endapo ingekutokea wewe, kushuhudia mtu aliyekufa na kuzikwa kufufuka kutoka kaburini. Tena akiibuka kwa taabu kutoka katika udongo uliomfukia kaburini. Amini…

Continue Reading....

Mafunzo ya Habari za Migogoro kwa Wanahabari Yaanza Burundi

Posted on: November 9, 2013November 9, 2013 - jomushi
Mafunzo ya Habari za Migogoro kwa Wanahabari Yaanza Burundi

  Na Isaac Mwangi, EANA – Arusha WAANDISHI wa habari 30 kutoka nchi wananchama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wameaanza mafunzo juu ya uandishi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari