Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 561

Category: Habari za Nyumbani

Uteuzi wa JK; Prof Mtambo na Manongi Waula

Posted on: November 12, 2013 - jomushi
Uteuzi wa JK; Prof Mtambo na Manongi Waula

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wa Shirika la Utafiti wa Maendeleo ya Viwanda (TIRDO), Mhifadhi Mkuu…

Continue Reading....

Bajeti ya Serikali Mwaka 2014 Ipunguze Vifo kwa Wajawazito

Posted on: November 12, 2013 - jomushi
Bajeti ya Serikali Mwaka 2014 Ipunguze Vifo kwa Wajawazito

ZAIDI ya Wanawake 8,700 hufariki duni kila mwaka nchini Tanzania kutokana na matatizo ya ujauzito na hasa wakati wa kujifungua. Takwimu hizi zinaonesha takribani wanawake…

Continue Reading....

Manumba Aachia Ngazi Jeshi la Polisi, Mungulu Amkaimu

Posted on: November 11, 2013 - jomushi
Manumba Aachia Ngazi Jeshi la Polisi, Mungulu Amkaimu

ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba amestaafu rasmi kulitumikia Jeshi la Polisi Nchini. Manumba amelazimika kuacha kulitumikia jeshi hilo baada…

Continue Reading....

JK Atuma Rambirambi Kifo cha Mfanyakazi wa Bunge

Posted on: November 11, 2013 - jomushi
JK Atuma Rambirambi Kifo cha Mfanyakazi wa Bunge

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne…

Continue Reading....

Ziara ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini

Posted on: November 11, 2013 - jomushi
Ziara ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akisalimiana na wafanyakazi wa mradi wa bomba la gesi huko Kilwa. Kazi ya uunganishaji wa…

Continue Reading....

Hakuna Nchi Imeendelea kwa Koroboi – Rais Kikwete

Posted on: November 11, 2013 - jomushi
Hakuna Nchi Imeendelea kwa Koroboi – Rais Kikwete

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Serikali yake inaelekeza nguvu nyingi na kasi mpya katika umeme kwa sababu hakuna…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari