Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 556

Category: Habari za Nyumbani

Naibu Waziri Fedha Atolea Ufafanuzi Mgogoro wa EFD

Posted on: November 18, 2013November 18, 2013 - jomushi
Naibu Waziri Fedha Atolea Ufafanuzi Mgogoro wa EFD

Na Magreth Kinabo SERIKALI imesema imeshaelekeza wasambazaji wa vifaa vya eletroniki vya kutoa risiti (EFD) kuuzwa  kwa bei tofauti kulingana na ubora wa vifaa hivyo…

Continue Reading....

Profesa Kapuya Afafanua Juu ya Tuhuma za Kudaiwa ‘Kumbaka’ Mwanafunzi

Posted on: November 18, 2013 - jomushi
Profesa Kapuya Afafanua Juu ya Tuhuma za Kudaiwa ‘Kumbaka’ Mwanafunzi

MWANASIASA maarufu na Mbunge wa Jimbo la Urambo Magharibi kupitia CCM, Profesa Juma A. Kapuya ametoa kauli yake kupinga tuhuma zinazoenezwa dhidi yake na mmoja…

Continue Reading....

Samsung Yatoa Zawadi kwa Washindi 15 wa ‘Pambika na Samsung’

Posted on: November 18, 2013November 19, 2013 - jomushi
Samsung Yatoa Zawadi kwa Washindi 15 wa ‘Pambika na Samsung’

  Meneja Masoko Rejareja wa Samsung Tanzania Bw. Sylvester Manyara (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mwenendo mzima wa promosheni ya Pambika na…

Continue Reading....

Hatari: Watu Wauza Damu Zao Mitaani

Posted on: November 18, 2013 - jomushi
Hatari: Watu Wauza Damu Zao Mitaani

WAKATI Serikali ikisisitiza kuwa huduma ya kumwongezea mgonjwa damu hospitalini ni bure, imebainika kwamba baadhi ya watu mitaani wakiwamo wabeba mizigo sokoni wanauza damu zao…

Continue Reading....

Bunge Lakataa Kubariki ‘Division 5’

Posted on: November 18, 2013 - jomushi
Bunge Lakataa Kubariki ‘Division 5’

KAMATI ya Bunge ya Huduma za Jamii, imevikataa viwango vipya vya alama za ufaulu kwa elimu ya sekondari vilivyotarajiwa kuanza kutumika mwaka huu na kutaka…

Continue Reading....

Mafunzo Kuhusu Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kwa Wanawake Chalinze

Posted on: November 18, 2013 - jomushi
Mafunzo Kuhusu Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kwa Wanawake Chalinze

Mratibu Msaidizi wa Mradi wa Ukimwi ILO Getrude Sima (kushoto) akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi Kaimu Afisa Tarafa ya Chalinze kata ya Pera Bw.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari