RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa maoni ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola kuhusu ajenda ya maendeleo baada…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Watoto Wenye Mahitaji Maalum Wanahitaji Ulinzi na Mapenzi…!
Na Anna Nkinda – Colombo, Sri Lanka WATOTO wenye mahitaji maalum wanahitaji kupata ulinzi na mapenzi ya mara kwa mara kutoka kwa walezi na jamii…
Continue Reading....Waziri Pinda Azitaka Halmashauri Nchini Kujenga Maktaba za Wilaya
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema kila Halmashauri hapa nchini inapaswa kuweka kwenye mpango wake wa maendeleo kifungu cha ujenzi wa maktaba ya wilaya ili watu…
Continue Reading....Rais Kikwete Azungumza na Waziri wa Maendeleo ya Minazi Sri Lanka, Akabidhiwa Ripoti ya Ugonjwa wa Minanzi Tanzania
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Serikali imedhamiria kukabiliana na maradhi ya mazao likiwamo zao la mnazi ambalo linakabiliwa na…
Continue Reading....Meneja wa MeTL Tawi la Iringa Akwapua Mamilioni Aingia Mitini
Meneja wa MeTL tawi la Iringa, Mr Aamir Iqbal -MeTL Group watangaza zawadi nono kwa atakayefanikishwa kukamatwa kwake KAMPUNI YA MOHAMMED ENTERPRISES TANZANIA LIMITED (MeTL)…
Continue Reading....Rushwa, Ufinyu wa Demokrasia ni Tishio kwa EAC
Na Isaac Mwangi, EANA Arusha MKUTANO wa pili wa Amani na Usalama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika Bujumbura, Burundi umebaini kwamba demokrasia…
Continue Reading....