RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Warsaw, Poland, asubuhi ya Novemba 19, 2013, kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Makamu wa Rais Dk Bilal Aiwakilisha Tanzania Mkutano wa Kuwait
MAKAMU wa Rais wa Jmhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal ameiwakilisha Tanzania katika mkutano wa mashirikiano baina ya nchi za Afrika na…
Continue Reading....Ujasiriamali Kufundishwa Kuanzia Mashuleni
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda Nchini (CTI) Bi Christine Kilindu (Mwisho Kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya viwanda nchini na mchango…
Continue Reading....Kero ya Maji Rombo: Wananchi Wageuka Mafundi Wajiunganishia Maji
Na Yohane Gervas, Rombo TATIZO la ukosefu wa maji katika Kijiji cha Alen chini limechukua sura mpya baada ya wananchi kuamua kufukua mabomba ya maji…
Continue Reading....Suluhisho la Matatizo ya Nchi za Maziwa Makuu Litapatikana Mezani – Wabunge EAC
WABUNGE wanaoiwakilisha Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki wamesema suluhisho la matatizo ya nchi za Maziwa Makuu yatapata ufumbuzi wa kudumu iwapo kutakuwa na utaratibu wa…
Continue Reading....‘Tutaendelea Kutoa Takwimu Sahihi kwa Masilahi ya Taifa’
Na Aron Msigwa – MAELEZO OFISI ya Taifa ya Takwimu imesema itaendelea na jukumu la kukusanya na kutoa takwimu Bora zinazokidhi mahitaji na viwango vinavyokubalika…
Continue Reading....