Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 554

Category: Habari za Nyumbani

PSPF Yawaomba Waandishi wa Habari Kujiunga PSS

Posted on: November 20, 2013 - jomushi
PSPF Yawaomba Waandishi wa Habari Kujiunga PSS

WAANDISHI wa habari nchini wameshauriwa kujiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari (PSPF Supplementary Scheme PSS) uliopo kwenye Mfuko wa Pesheni wa PSPF ili kujiwekea…

Continue Reading....

Rais Ataja Hatua Saba Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Posted on: November 20, 2013 - jomushi
Rais Ataja Hatua Saba Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amependekeza hatua saba za msingi za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kupunguza uzalishaji…

Continue Reading....

Serikali Yakaza Uzi Matumizi ya EFD kwa Wafanyabiashara

Posted on: November 20, 2013November 20, 2013 - jomushi
Serikali Yakaza Uzi Matumizi ya EFD kwa Wafanyabiashara

SERIKALI imesema kuwa mgomo wa wafanyabiashara hauwezi kubadili uamuzi wake wa kukusanya kodi kupitia mashine za elektroniki za EFD na imewataka wafanyabiashara hao kufungua maduka…

Continue Reading....

Mauaji Dar; Mtu Mmoja Aua,Ajeruhi na Kujiua kwa Risasi

Posted on: November 20, 2013 - jomushi
Mauaji Dar; Mtu Mmoja Aua,Ajeruhi na Kujiua kwa Risasi

MFANYABIASHARA wa magari, Gabriel Munisi (35), jana alijiua baada ya kumuua mtu mmoja na kujeruhi wengine watatu jijini Dar es Salaam katika tukio linalohusishwa na…

Continue Reading....

Usalama Barabarani Wamtangaza Athuman Hamis Kuwa Balozi Wao

Posted on: November 19, 2013 - jomushi
Usalama Barabarani Wamtangaza Athuman Hamis Kuwa Balozi Wao

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira A. Silima (kushoto) akizungumza na wanahabari pembeni yake ni Athuman Hamis balozi wa Usalama Barabarani. Naibu Waziri wa…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Azindua Miradi ya Maji, Umeme ya Sh. 1.8bn/-

Posted on: November 19, 2013 - jomushi
Waziri Mkuu Azindua Miradi ya Maji, Umeme ya Sh. 1.8bn/-

  WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amezindua miradi ya maji na umeme wilayani Arumeru yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni 1.8/- ikiwa ni utekelezaji wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari