Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 553

Category: Habari za Nyumbani

Kampuni ya Samsung Wagawa Zawadi kwa Wateja Walioshinda

Posted on: November 21, 2013November 21, 2013 - jomushi
Kampuni ya Samsung Wagawa Zawadi kwa Wateja Walioshinda

 Mshindi wa droo ya kwanza ya Pambikana Samsung Bw. Ally Abdallah akipokea zawadi ya Microwave toka kwa Meneja wa Samsung kitengo cha Simu na Teknolojia…

Continue Reading....

Rais Kikwete Azitaka Nchi Tajiri Kutimiza Ahadi Kuhusu Mabadiliko ya Tabia Nchi

Posted on: November 20, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Azitaka Nchi Tajiri Kutimiza Ahadi Kuhusu Mabadiliko ya Tabia Nchi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amezitaka nchi tajiri na zilizoendelea duniani kutimiza ahadi zao za kutoa fedha kusaidia nchi masikini…

Continue Reading....

Ifanyike Tathmini ya Ufuatiliaji wa Takwimu – Serikali

Posted on: November 20, 2013 - jomushi
Ifanyike Tathmini ya Ufuatiliaji wa Takwimu – Serikali

IKIWA ni takribani miaka 20 tangu kuasisiwa kwa Siku ya Takwimu Afrika, Serikali imesema ipo haja ya kufanyika kwa tathmini ya ufuatiliaji wa takwimu zinazotolewa…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Pinda Ataka Wajasiriamali Wenye Viwanda Vidogo Waendelezwe

Posted on: November 20, 2013 - jomushi
Waziri Mkuu Pinda Ataka Wajasiriamali Wenye Viwanda Vidogo Waendelezwe

  WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Wizara ya Viwanda na Biashara haina budi kuwaendeleza wajasiriamali wenye viwanda vidogo na vya kati kwa kuwa vina mchango…

Continue Reading....

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Tanzania Afunguwa Mkutano wa COMNETA

Posted on: November 20, 2013 - jomushi
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Tanzania Afunguwa Mkutano wa COMNETA

Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene  (kushoto) akiwasili katika Hoteli ya New Palm Tree iliyopo Bagamoyo mkoani Pwani kufungua mkutano wa…

Continue Reading....

A New Underwater Hotel Room Has Opened off the Coast of Tanzania

Posted on: November 20, 2013April 16, 2014 - admin
A New Underwater Hotel Room Has Opened off the Coast of Tanzania

A new underwater hotel room has opened off the coast of Tanzania for intrepid, adventurous and ocean-loving travelers. Set off Pemba Island, also known as…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari