Na Joachim Mushi MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa tahadhari kwa Mamlaka za miji Vipindi vya mvua kubwa zitakazonyesha kuanzia mwezi Januari hadi…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Abiria wa Dalala Wanusurika ‘Kifo’ Gongo la Mboto
ABIRIA wa daladala moja namba T608 BKP aina ya Toyota Hiace eneo la Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam leo wamenusurika kifo baada ya…
Continue Reading....Rais Kikwete Ateua Mkuu Mpya wa Jeshi la Polisi Tanzania
RAIS Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete leo, Desemba 30, 2013, amemteua Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi…
Continue Reading....Moureen Aibuka Supa Staa wa ‘MO Kids Got Talent 2013’
Kijana Salum Nyangumwe (17) mshindi wa pili aliyeimba wimbo wa My Number One wa Msanii Nasib Abdul a.k.a Diamond wakati wa fainali za kusaka kipaji…
Continue Reading....Waziri Pinda Alipongeza Kanisa Katoliki kwa Ubunifu
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amelipongeza Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha kwa kubuni na kuunda Umoja wa Madhehebu ya Kikristu katika mkoa wa Arusha…
Continue Reading....Wanafunzi 411,127 Wachaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2013
SERIKALI imetangaza idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwakani, huku 16,482 wakishindwa kuchaguliwa kutokana na uhaba wa madarasa. Wanafunzi hao ni kati ya…
Continue Reading....