Na Mwandishi Wetu, Zanzibar SHEREHE za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar zimefanyika leo mjini Unguja katika Uwanja wa Aman huku zikishirikisha viongozi…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Idadi ya Tembo Mikumi na Ruaha Yaendelea Kupukutika
Na Mwandishi Wetu MATOKEO ya sensa ya tembo iliyofanyika katika Maeneo ya Mfumo wa ikolojia wa Selous – Mikumi na Ruaha – Rungwa iliyoandaliwa na…
Continue Reading....Askari Polisi, Magereza Wafikishwa Mahakamani kwa Ujambazi
ASKARI wawili wa Jeshi la Polisi na Magereza pamoja na raia watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mbeya wakituhumiwa kwa ujambazi wa kutumia silaha.…
Continue Reading....IGP Mpya Atangaza Mabadiliko Makubwa Jeshi la Polisi
MKUU Mpya wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali, Ernest Mangu ameanza kazi kwa kutangaza mabadiliko ya mfumo wa jeshi hilo huku akiunda vitengo vipya kwa…
Continue Reading....Magonjwa ya Mlipuko Yanukia Dar,
MIUNDOMBINU mibovu katika Dampo kuu la Jiji la Dar es Salaam, Pugu Kinyamwezi imesababisha magari makubwa ya kuzoa na kumwaga taka kukwama kwa muda wa…
Continue Reading....Mapya Yaibuka Ndoa Iliyovunjwa na Mahakama Nkasi, Yadaiwa Mume ‘Alimbaka’ Mwanafunzi…!
Na Joachim Mushi, Nkasi-Rukwa SAKATA la ndoa iliyovunjwa na mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Nkasi, Mkoa wa Rukwa limeingia katika sura mpya baada ya uchunguzi…
Continue Reading....