Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 530

Category: Habari za Nyumbani

UNDP: Tanzania Yaongoza Mpango wa Majaribio Mageuzi ya UN

Posted on: January 15, 2014 - jomushi
UNDP: Tanzania Yaongoza Mpango wa Majaribio Mageuzi ya UN

TANZANIA imefanya vizuri zaidi na kuonyesha mafanikio zaidi kuliko nchi nyingine yoyote duniani kati ya nchi nane ambazo zilikuwa zinashiriki katika Mpango wa Majaribio wa…

Continue Reading....

Rais Kikwete Aomboleza Vifo vya George Lindi na Hashim Sagaf

Posted on: January 15, 2014 - jomushi
Rais Kikwete Aomboleza Vifo vya George Lindi na Hashim Sagaf

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesikitishwa na kuhuzunishwa na kifo cha ghafla cha aliyekuwa msajili wa kwanza wa vyama vya…

Continue Reading....

Mapya Yaibuka Ndoa Iliyovunjwa na Mahakama Nkasi, Yadaiwa Mume ‘Alimbaka’ Mwanafunzi…!

Posted on: January 14, 2014 - jomushi
Mapya Yaibuka Ndoa Iliyovunjwa na Mahakama Nkasi, Yadaiwa Mume ‘Alimbaka’ Mwanafunzi…!

Na Joachim Mushi, Nkasi-Rukwa SAKATA la ndoa iliyovunjwa na mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Nkasi, Mkoa wa Rukwa limeingia katika sura mpya baada ya uchunguzi…

Continue Reading....

Wananchi Waupinga Mradi Gesi kwa Kupunjwa Fidia

Posted on: January 14, 2014 - jomushi

Na Mwandishi Wetu WANANCHI wa Mji mpya Relini Wilaya ya Ilala waliopitiwa na mradi ya bomba la gesi ya Mtwara wamemuomba Mbunge wa Jimbo la…

Continue Reading....

Mabinti Wadogo Watolewa Mahari na Kuolewa Nkasi

Posted on: January 12, 2014 - jomushi
Mabinti Wadogo Watolewa Mahari na Kuolewa Nkasi

Na Joachim Mushi, Namanyere-Nkasi KILA kabila nchini Tanzania lina mila na desturi zake. Baadhi ya mila na desturi hizi zimekuwa zikienziwa vizazi na vizazi kwa…

Continue Reading....

Kusherehekea Mapinduzi ya Zanzibar; JK Atangaza Mapumziko Kesho

Posted on: January 12, 2014 - jomushi
Kusherehekea Mapinduzi ya Zanzibar; JK Atangaza Mapumziko Kesho

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ametangaza kuwa kesho, Januari 13, 2014, itakuwa Siku ya Mapumziko (Public Holiday) kwa Watanzania wote kusheherekea…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari