Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 532

Category: Habari za Nyumbani

Maliasili na Utalii Yawasimamisha Kazi 21 Kwa Tuhuma za Ujangili

Posted on: January 9, 2014 - jomushi
Maliasili na Utalii Yawasimamisha Kazi 21 Kwa Tuhuma za Ujangili

WIZARA ya Maliasili na Utalii, imewasimamisha kazi watumishi wake 21 kwa tuhuma mbalimbali ikiwa ni pamoja na kusaidia ujangili wa nyara za Serikali. Hatua hiyo…

Continue Reading....

Viongozi wa TMF Watembelea Ofisi za dev.kisakuzi.com Dar

Posted on: January 8, 2014January 8, 2014 - jomushi
Viongozi wa TMF Watembelea Ofisi za dev.kisakuzi.com Dar

Continue Reading....

Mahakama Nkasi Yalalamikiwa Kuvunja Ndoa Yenye Mgogoro Bila Kugawanya mali

Posted on: January 8, 2014 - jomushi
Mahakama Nkasi Yalalamikiwa Kuvunja Ndoa Yenye Mgogoro Bila Kugawanya mali

Na Joachim Mushi, Nkasi MAHAKAMA ya Mwanzo Namanyere wilayani Nkasi imelalamikiwa kwa kitendo cha kuvunja ndoa iliyokuwa na mgogoro kwa wanandoa bila kugawanya mali iliyochumwa…

Continue Reading....

Zitto Ashinda Mahakamani, Kiongozi Chadema Atekwa, Ateshwa..!

Posted on: January 8, 2014January 8, 2014 - jomushi
Zitto Ashinda Mahakamani, Kiongozi Chadema Atekwa, Ateshwa..!

ALIYEKUWA Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe ameshinda maombi yake dhidi ya chama hicho mahakamani. Katika maombi hayo namba 1 ya mwaka 2014, Zitto…

Continue Reading....

IMF Yatahadharisha EAC Kutoharakisha Umoja wa Fedha

Posted on: January 7, 2014 - jomushi
IMF Yatahadharisha EAC Kutoharakisha Umoja wa Fedha

  Na Mwandishi wa EANA, Arusha MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Fedha Duniani (IMF), Christine Lagarde ameitahadharisha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutofanya haraka katika…

Continue Reading....

Nahodha wa Kilimanjaro II Ahojiwa Polisi Zanzibar Ajali ya Meli

Posted on: January 7, 2014 - jomushi
Nahodha wa Kilimanjaro II Ahojiwa Polisi Zanzibar Ajali ya Meli

WAKATI watu saba wakiwa bado hawajaonekana baada ya boti ya Kilimanjaro II, kupata ajali na abiria kuzama baharini, nahodha wa chombo hicho alitoa taarifa za…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari