Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari kwa wananchi juu ya uwezekano wa kunyesha mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
CCM Yawaadhibu Lowassa, Sumaye, Membe na Wassira…!
Na Joachim Mushi CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) hatimaye kimeanza kuchukua hatua kwa wanachama wake 6 nguli walioonekana kuanza kampeni za kugombea urais ndani ya chama…
Continue Reading....TV, Mito ya Makochi Yamfunga Jela Miaka 30 na Viboko 12
Yohane Gervas, Rombo MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Rombo imemhukumu Hilas Bahath (31) kwenda jela miaka 30 baada ya kupatikana na…
Continue Reading....Amir Pandu Kificho Achaguliwa Mwenyekiti wa Muda Bunge la Katiba
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Amir Pandu Kificho amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba…
Continue Reading....Bunge Maalumu la Katiba Mpya Kuanza Leo Dodoma…!
Na Mwandishi Wetu, MBUNGE maalumu la Katiba linaanza leo mjini Dodoma ikiwa ni safari mpya ya taifa kuelekea kupata Katiba Mpya itakayo ridhiwa na Watanzania…
Continue Reading....APRM Yawataka Wajumbe Bunge la Katiba Kutanguliza Maslahi ya Taifa
MPANGO wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) tawi la Tanzania unatoa wito kwa wabunge wa Bunge Maalum la Katiba linaloanza Jumanne wiki hii mjini Dodoma…
Continue Reading....