Na Mwandishi Wetu MATOKEO ya Kidato cha nne kwa 2013 yametangazwa huku watahiniwa 235,227 wakifaulu mtihani huo ikiwa ni sawa na asilimia 58.25 ya waliofanya…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Wabunge Bunge la Katiba Walalamikia Posho ya Shs 300,000, Wadai Haiwatoshi..!
Na Magreth Kinabo – Maelezo Dodoma MWENYEKITI wa muda wa Bunge Maalum la Katiba, Ameir Pandu Kificho, ametangaza timu ya wajumbe sita kwa ajili ya…
Continue Reading....Jaji Werema Awapa Somo Wajumbe Bunge la Katiba
Na Magreth Kinabo – Maelezo, Dodoma MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema amewataka wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuijadili Rasimu ya Katiba Mpya…
Continue Reading....Watoto Mapacha Walioungana Watenganishwa Nchi India
Na Aron Msigwa – MAELEZO HATIMAYE watoto mapacha kutoka wilayani Kyela mkoani Mbeya waliokuwa wamepelekwa na Serikali kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kuwatenganisha jana walirejea nchini…
Continue Reading....DC Asema Mbinu za Kisasa Zinahitajika Kuelimisha Jamii
Na Mwandishi Wetu DEMOKRASIA vijijini itapatikana iwapo vyombo vya habari jamii vitatumika kikamilifu na kutekeleza wajibu wake wa kupasha habari kwa kutumia teknolojia mpya.…
Continue Reading....UWT Wampongeza Rais Kikwete Uteuzi Wajumbe Bunge la Katiba
Na Anna Nkinda – Maelezo UMOJA wa Wanawake wa Tanzania (UWT) umempongeza, Rais Dk. Jakaya Kikwete kwa uteuzi wa wajumbe wa Bunge la Katiba linalotarajia kuanza…
Continue Reading....