MAJARIBIO ya chanjo ya malaria barani Afrika yametoa matumaini ya kupatikana kwa chanjo ya kwanza diniani ya ugonjwa huo, unaoenezwa na mbu. Watoto waliopata chanjo…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Nape ‘aunguruma’, asema CCM si chaka la mafisadi
*Asema hatishiki kusimamia haki Katibu wa NEC ya CCM wa Itikadi na uenezi, Nape Nnauye amesema CCM sio kichaka cha kujifichia mafisadi na viongozi wabovu…
Continue Reading....Kaimu RPC Arusha awafukuza wanahabari
Janeth Mushi, Arusha KATIKA hali isiokuwa ya kawaida Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, Akili Mpwapwa leo amewatimuwa waandishi wa habari waliokuwa…
Continue Reading....Mwandishi Hamad Maulid afariki dunia
CHAMA Cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kinasikitika kutangaza kifo cha mwandishi mahiri wa habari za michezo Zanzibar, Maulid Hamad Maulid. Maulid ambaye…
Continue Reading....Pinda ataka halmashauri zitenge maeneo ya Benki ya Ardhi
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amezitaka Halmashauri za Wilaya nchini kutenga maeneo maalum kwa ajili ya uwekezaji ili baadaye yatumike kama land bank (akiba ya ardhi)…
Continue Reading....T-Moto kuanza kuwasha moto mkoani Mtwara
*Kutoa msaada wa kitanda cha wajawazito Hospitali ya Mkoa Mtwara KUNDI jipya la taarab linalokuja kwa kasi nchini, Tanzania Modern Taarab (T-Moto) ama ‘Real Madrid’…
Continue Reading....