Monduli WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa amevunja ukimya na kuzungumzia tuhuma mbalimbali zinazoelekezwa kwake, huku akisisitiza kuwa sasa amechoka kukashifiwa. Alisema kuanzia sasa hatakubali kuchafuliwa…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Ujenzi wa Kituo cha Wanafunzi UDSM ni msaada kwa wanafunzi- JK
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Tanzania Jakaya Kikwete amesema kuwepo kwa Kituo cha Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kutakidhi mahitaji mengi mbalimbali…
Continue Reading....Wananchi watakiwa kusimamia kesi za ukatili zifike mahakamani
Na Ananilea Nkya Mkurugenzi Mtendaji TAMWA. WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wameshauriwa kusimamia kesi zao zinazohusu ukatili wa kijinsia kuhakikisha zinafikishwa katika vyombo vya…
Continue Reading....Semina ya Jinsia na Maendeleo
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) unawakaribisha wananchi wote katika mfululizo wa Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) zinazofanyika kila Jumatano. Wiki hii itakuwa ya POLICE…
Continue Reading....Kila binadamu ‘anakichaa’ chake bwana!
KAMERA ya dev.kisakuzi.com leo imelinasa tukio hili katika barabara ya Morogoro karibu na Jengo la Ubungo Plazza. Mtu huyu pichani kwa kipindi kirefu amekuwa akionekana…
Continue Reading....