CHAMA cha kiislamu chenye msimamo wa wastani nchini Tunisia, Ennahda, kimejitangazia ushindi katika uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia nchini humo. Matokeo rasmi yanatarajiwa baadaye siku…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Kenya yalipuliwa tena, mmoja auawa 11 wajeruhiwa
TAARIFA kutoka Kenya zinasema kumetokea mlipuko mwingine katika Mji Mkuu wa nchi hiyo, Nairobi. Polisi wanasema mtu mmoja ameuawa na wengine kumi na wawili wamejeruhiwa.…
Continue Reading....Mnyika kuwasilisha muswada wa kudhibiti bei ya bidhaa muhimu
Na Mwandishi Wetu MBUNGE wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika (Chadema), amesema kuwa atapeleka muswada binafsi wa Sheria ya Udhibiti wa Bei ya bidhaa nchini…
Continue Reading....Maalim Seif: Watendaji Zanzibar chanzo cha uchafuzi wa mazingira
Na Mwinyi Sadallah Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema tabia ya watendaji kufungia sheria na kanuni za uhifadhi wa mazingira…
Continue Reading....Jaji akwamisha kesi ya Lema kusikilizwa
Na Mwandishi Wetu, Arusha KESI ya kupinga matokeo ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema (CHADEMA) leo imekwama kusikilizwa tena baada ya Jaji…
Continue Reading....Rais wa Zanzibar Dk. Ali Shein aapishwa
RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, ameapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania kwa ajili ya kushiriki vikao vya baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya…
Continue Reading....