Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,146

Category: Habari za Nyumbani

Serikali yawasaka wafanyabiashara haramu wa madini

Posted on: October 24, 2011 - jomushi
Serikali yawasaka wafanyabiashara haramu wa madini

Na Janeth Mushi, Arusha SERIKALI mkoani hapa leo inafanya msako kuwatafuta wafanyabiashara wadogo (ma-bloker) wanaofanya biashara hiyo bila ya leseni. Wafanyabiashara wanaoendesha biashara hiyo bila…

Continue Reading....

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Mare aagwa

Posted on: October 24, 2011 - jomushi
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Mare aagwa

Continue Reading....

Hii ndio siri ya Kanali Gaddafi kuuwawa?

Posted on: October 24, 2011October 27, 2011 - jomushi
Hii ndio siri ya Kanali Gaddafi kuuwawa?

KUNA watu wengi wamekuwa na maoni tofauti juu ya kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Taifa la Libya Kanali Muammar Gaddafi. Wapo wanaounga mkono juhudi za…

Continue Reading....

Tetemeko laua zaidi ya watu 1,000 Uturuki

Posted on: October 24, 2011October 24, 2011 - jomushi
Tetemeko laua zaidi ya watu 1,000 Uturuki

TETEMEKO la ardhi lenye ukubwa wa kipimo cha 7.3 cha Richter mashariki mwa Uturuki leo limeua kati ya watu 500 hadi elfu moja. Profesa, Mustafa…

Continue Reading....

Watu 13 wajeruhiwa shambulio mjini Nairobi

Posted on: October 24, 2011October 24, 2011 - jomushi
Watu 13 wajeruhiwa shambulio mjini Nairobi

SHAMBULIO la guruneti katika Mji Mkuu wa Kenya, Nairobi, limesababisha watu 13 kujeruhiwa huku mmoja kati yao kujeruhiwa vibaya kufuatia shambulio hilo. Taarifa za awali…

Continue Reading....

Wastaafu wa iliyokuwa EAC sasa waokota ‘makopo’ Dar

Posted on: October 23, 2011 - jomushi
Wastaafu wa iliyokuwa EAC sasa waokota ‘makopo’ Dar

BAADHI ya Wazee Wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) sasa wamegeuka waokota makopo na chupa jijini Dar es Salaam, wakitafuta fedha za kujikimu.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari