Na Ngusekela David MRADI wa Muungano wa Wajasiriamali Vijijini (MUVI) unaendesha mafunzo ya kilimo kama biashara wilayani Muheza yanayotolewa na wakufunzi ambao ni maofisa ugani…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Rais Kikwete: Uwekezaji Afrika uwanufaishe Waafrika
Na Mwandishi Maalumu, Perth, Australia RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema changamoto kubwa ya sasa ya uwekezaji katika Afrika ni kwamba…
Continue Reading....Wakuu wa nchi CHOGM waombwa kuwasaidia wasichana wanaoozeshwa kwa nguvu
Na Anna Nkinda – Perth, Australia WAKUU wa nchi Wanachama wa Jumuia ya Madola wameombwa kuchukua hatua na kuwasaidia mamilioni ya wasichana wanaoozwa kilazima huku…
Continue Reading....Shigela alaani ukatili wa tindikali Igunga
*UVCCM kumpa mtaji wa biashara aliyemwagiwa tindikali Igunga Na Janeth Mushi, Moshi KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Martine…
Continue Reading....Polisi wanasa maguruneti na bunduki-Kenya
MTU MMOJA amekamatwa na polisi na silaha mbali mbali katika mtaa mmoja mjini Nairobi,Kenya. Katika nyumba hiyo polisi walinasa maguruneti 13 na bunduki kadhaa pamoja…
Continue Reading....Jaji Mkuu Tanzania awania nafasi ya Ocampo
JAJI MKUU wa Tanzania Mohamed Chande Othman kuwania nafasi ya Ocampo ICC Jaji mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman ni mmoja kati ya watu wanne…
Continue Reading....