Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,142

Category: Habari za Nyumbani

Mwema Polisi tumejipanga kukabiliana na ugaidi Tanzania

Posted on: October 26, 2011 - jomushi
Mwema Polisi tumejipanga kukabiliana na ugaidi Tanzania

Na Joachim Mushi MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP, Said Mwema amesema Watanzania wasiwe na hofu juu ya kuendelea kwa vitendo vya kigaidi katika…

Continue Reading....

Jenerali Mboma ateuliwa M/Kiti Bodi ya Tanesco

Posted on: October 26, 2011 - jomushi
Jenerali Mboma ateuliwa M/Kiti Bodi ya Tanesco

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemteua Jenerali mstaafu Robert Mboma kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika…

Continue Reading....

Sitta aitaka benki ya NMB kufungua matawi nchi za A. Mashariki

Posted on: October 26, 2011 - jomushi
Sitta aitaka benki ya NMB kufungua matawi nchi za A. Mashariki

Na Mwandishi Wetu, Arusha WAZIRI wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, ameitaka Benki ya NMB kufungua matawi yake kwenye nchi za Afrika Mashariki ili kupanua biashara…

Continue Reading....

Jaji Chande atailetea heshima Tanzania- JK

Posted on: October 26, 2011 - jomushi
Jaji Chande atailetea heshima Tanzania- JK

TANZANIA itapata heshima kubwa iwapo Jaji Mkuu Mheshimiwa Mohammed Chande Othman atachaguliwa kuwa muongoza Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai, maarufu…

Continue Reading....

Kikwete atuma rambirambi ajali ya basi lililoteketea moto Pwani

Posted on: October 26, 2011October 26, 2011 - jomushi
Kikwete atuma rambirambi ajali ya basi lililoteketea moto Pwani

Na Mwandishi Wetu RAIS Jakaya Kikwete amemtumia Mkuu wa Mkoa wa Pwani salamu za rambirambi na masikitiko makubwa kufuatia ajali ya basi la abiria lijulikanalo…

Continue Reading....

Vodacom inavyowasaidia wakulima nchini

Posted on: October 26, 2011 - jomushi
Vodacom inavyowasaidia wakulima nchini

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari