Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,141

Category: Habari za Nyumbani

Kenya ‘yashambuliwa’ tena, wanne wauwawa

Posted on: October 27, 2011 - jomushi
Kenya ‘yashambuliwa’ tena, wanne wauwawa

WATU wenye silaha nchini Kenya wameshambulia lori la mizigo karibu na mpaka na Somalia, na kuua watu wasiopungua wanne. Taarifa zinasema gari hilo lilikuwa limebeba…

Continue Reading....

Anglo Gold Ashanti kulipa kodi ya bil 86 Tz

Posted on: October 27, 2011 - jomushi
Anglo Gold Ashanti kulipa kodi ya bil 86 Tz

SERA sahihi za Serikali za kuyataka makampuni ya madini nchini kuanza kulipa kodi ya mapato zimeanza kuzaa matunda baada ya Kampuni ya Anglo-Gold Ashanti kutangaza…

Continue Reading....

Wingi wa wasikilizaji wakwamisha kesi ya Lema

Posted on: October 27, 2011 - jomushi
Wingi wa wasikilizaji wakwamisha kesi ya Lema

Na Mwandishi Wetu, Arusha MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha, leo imeshindwa tena kuanza kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini,…

Continue Reading....

Tupambane na uharibifu wa mazingira- Dk Shein

Posted on: October 27, 2011 - jomushi
Tupambane na uharibifu wa mazingira- Dk Shein

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesema ipo haja ya kushirikiana katika kupambana…

Continue Reading....

HakiElimu yakabidhi maktaba shuleni Mwisenge

Posted on: October 27, 2011 - jomushi
HakiElimu yakabidhi maktaba shuleni Mwisenge

Na Joachim Mushi TAASISI ya HakiElimu leo inakabidhi jengo la maktaba katika Shule ya Msingi Mwisenge ikiwa ni heshima ya kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu…

Continue Reading....

Zitto sasa mahututi, ahamishiwa ICU

Posted on: October 27, 2011 - jomushi
Zitto sasa mahututi, ahamishiwa ICU

Na Mwandishi Wetu HALI ya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe sasa ni mbaya na amehamishiwa katika chumba cha…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari