Muda wa upigaji kura umeongezwa na kuingia siku ya pili katika baadhi ya maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo sehemu ambazo upigaji huo haukufanyika…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Wahusika wa kashfa ya BAE TZ kushtakiwa
Kundi la wabunge kutoka vyama mbali mbali vya siasa nchini Uingereza limetoa wito wa kufunguliwa mashtaka dhidi ya mtu yeyote aliyehusika katika kashfa ya ufisadi…
Continue Reading....Laurent Gbagbo apelekwa The Hague
Mwendesha mashtaka nchini Ivory Coast amesema kuwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Laurent Gbagbo, ameondoka kutoka mji wa Korhogo, kaskazini mwa nchi, na kwamba anasafirishwa…
Continue Reading....JK asaini muswada waliougomea CHADEMA
Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete hatimaye leo, Novemba 29, 2011, ametia saini Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya…
Continue Reading....Magari ya Jeshi kutumika kubeba mahindi Tanzania
Na Mwandishi Wetu WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imefikia uamuzi wa kutumia majeshi yake ili kusomba mahindi yaliyolundikana katika mikoa ya Nyanda za Juu…
Continue Reading....Mwekezaji si lazima atoke nje- Waziri Pinda
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema suala la uwekezaji hapa nchini haliwalengi watu wa nje tu bali hata wa ndani wanaweza kuwekeza hata kama ni kwa…
Continue Reading....