Category: Habari za Nyumbani
Waziri Pinda azindua kiwanda cha Bia ya Serengeti
Na Joachim Mushi, Kilimanjaro WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amesema Serikali inatambua mchango mkubwa wa huduma kwa jamii unaotolewa na kampuni ya Bia ya…
Continue Reading....Zoezi la kuhesabu kura lagubikwa na mashambulio ya waasi- Congo
SHUGHULI za kuhesabu kura zinaendelea katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo baada ya uchaguzi mkuu hapo jana uliokumbwa na mashambulio ya waasi na machafuko katika…
Continue Reading....Balozi wa Kenya afukuzwa Sudan
SERIKALI ya Sudan imemfukuza balozi wa Kenya nchini humo, kufuatia mahakama kuu ya Kenya kuamuru kukamatwa kwa Rais wa Sudan Omar al-Bashir, anayetafutwa na mahakama…
Continue Reading....Mataifa tajiri yawa kikwazo mkutano wa hali ya hewa-Durban.
WAKATI huu ambapo kikao cha viongozi kuhusu hali ya hewa kinaanza, baadhi ya nchi zinazostawi ulimwenguni ambazo zinahusika sana katika uchafuzi wa hewa zinajaribu kuchelewesha…
Continue Reading....Kenya yatoa hati ya kukamatwa kwa Bashir
Mahakama ya Kenya imetoa hati ya kukamatwa kwa rais wa Sudan Omar al-Bashir juu ya madai ya uhalifu wa kivita mjini Darfur. Uamuzi huo umetolewa…
Continue Reading....