*Wadai akiwapuuza atakiona cha moto Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemtaka Rais Jakaya Kikwete asiunde Tume ya kusimamia mchakato wa Katiba…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Matukio katika picha uzinduzi Kiwanda cha SBL Moshi
[/caption] caption id=”attachment_10407″ align=”aligncenter” width=”336″ caption=”Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anapanda mti wa ukumbusho baada ya kungungua kiwanda hicho.”][/caption]
Continue Reading....Obama aitakia heri Tanzania maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Marekani, Barack Obama ametuma salamu za pongezi na kuitakia Tanzania maadhimisho mema ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara.…
Continue Reading....CUF nao waomba mazungumzo na Rais
*JK akubali maandalizi yafanywa Na Mwandishi Wetu OFISI ya Rais, Ikulu, imepokea barua kutoka Chama cha Wananchi (CUF) kikiomba kukutana na kufanya mazungumzo na Rais…
Continue Reading....Dk. Bilal aiwakilisha Tanzania Mkutano wa Wakuu wa nchi EAC
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal ameiwakilisha Tanzania katika Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika…
Continue Reading....Wanawake wabakaji Zimbabwe wafikishwa Mahakamani
Polisi wa Zimbabwe wanaamini kuna mtindo wa wanawake kuwabaka wanaume Zimbabwe , ili kutumia mbegu zao za kiume katika ushirikina kujitajirisha. Imechukuwa zaidi ya mwaka…
Continue Reading....